MICHEZO: MAKA EDWARD AAHIDI MAKUBWA AKIPEWA NAFASI. - bongo specially

Breaking

Post Top Ad

Thursday 14 September 2017

MICHEZO: MAKA EDWARD AAHIDI MAKUBWA AKIPEWA NAFASI.


Kiungi chipukizi aliyepandishwa kutoka U20 Maka Edward Mwakalukwa,amesema endapo benchi la ufundi litamwamini na kumpa nafasi ya kucheza Mara kwa Mara basi ataifanyia mambo makubwa fursa hiyo kutokana na uwezo sanjari na kipaji alichojaaliwa na mwenyezi mungu, Maka anayeamini kuwa hakuna suala la umri kwenye mpira kikubwa ni kujituma na kufuata.


kijukuuchababu

No comments:

Post a Comment