Jezi ya Okwi Yakimbiza kwa Kuuzika Mwanza - bongo specially

Breaking

Post Top Ad

Thursday 21 September 2017

Jezi ya Okwi Yakimbiza kwa Kuuzika Mwanza


Jezi ya Okwi Yakimbiza kwa Kuuzika Mwanza
Jezi ya mshambuliaji wa Simba, EmmanuelOkwi inauzika zaidi kuliko za wachezaji wengine hapa jijini Mwanza ikiwa ni kuelekea mechi ya Simba na Mbao FC.

Mfanyabiashara Said Hassan anayejishughulisha na uuzaji wa jezi jijini Mwanza, alisema kuwa jezi ya Okwi imekuwa na wateja wengi kuliko nyingine ikifuatiwa ya Haruna Niyonzima.

"Kwa sasa jezi ya Okwi inauzika sana kuliko nyingine na mashabiki wengi wanasema kuwa huyo ndiye mchezaji anayeibeba timu, nyingine kidogo ni ya Niyonzima," amesema Hassan.

No comments:

Post a Comment