BREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu - bongo specially

Breaking

Post Top Ad

Thursday 7 September 2017

BREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu


Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu.

 Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na kutajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa tanzanite na almasi

No comments:

Post a Comment