Kocha Joseph Omog anaendelea vizuri baada ya ile ajali ya kugongana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi wakiwa mazoezini.
Okwi naye imeelezwa kuwa anaendelea vizuri baada ya kupata ‘ajali’ kwa kugongana na kocha wake kwenye mazoezi ya Uwanja wa Uhuru.
Hata hivyo, mmoja wa maofisa wa Simba amesema, Omog alikuwa akisikia maumivu ya kichwa hata baada ya mazoezi.
"Tuna imani ataamka vizuri kesho. Waligongana kwa nguvu kwa kweli. Ilikuwa ni bahati mbaya na wote tumeona, hivyo tunawaombea wawe vizuri,"alisema.
Ndugu msomanji wa mkalimangi blog tunapeba kuwakumbusha msisahau kudownloed app yetu hapo chini ili kupata habasri zakimichezo kwa urahisi
No comments:
Post a Comment