Habari zilizotufikia kutoka Tabora zinasema kuwa basi la kampuni ya Adventure lenye namba za usajili T992 BDT lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Mpanda mkoani Katavi limeanguka mbele ya kijiji cha Ipole wilayani Sikonge mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea jana jioni Jumamosi Septemba 2, 2017.
Taarifa za awali zinasema Mtu mmoja amefariki dunia na zaidi ya 50 wamejeruhiwa.
No comments:
Post a Comment